Mlinzi
kiraka wa timu ya Young Africans Mbuyu Junior Twite leo ameongeza
mkataba mpya wa mwaka mmoja kuendelea kuitumikia klabu ya Yanga baada ya
kufikia makubaliano na uongozi na kupata majibu ya Shirikisho la Soka
nchini TFF juu ya idadi ya wachezaji wa kimataifa kwa msimu ujao
2014/2015.
0 comments:
Post a Comment